Home Dauda TV Serengeti Boys utaipenda tu (Video-magoli yote)

Serengeti Boys utaipenda tu (Video-magoli yote)

11336
0

Leo Jumanne August 21, 2018 timu ya taifa ya vijana U17 Serengeti Boys imecheza mechi ya mwisho hatua ya makundi kuwania kufuzu fainali za AFCON 2019.

Serengeti Boys imefanikiwa kushinda kwa magoli 4-0 dhidi ya Rwanda. Kelvin John ameendelea kuwa tishio kwenye mashindano haya baada ya leo kufunga hat-trick ikiwa ni ya kwanza katika mashindano haya.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here