Home Dauda TV Shaffih Dauda alichambua kundi la Simba CAF

Shaffih Dauda alichambua kundi la Simba CAF

8300
0

Baada ya draw ya makundi ya vilabu bingwa kukamilika na Simba kuangukia Kundi D Shaffih Dauda anasema amefatilia timu ambazo Simba imepangwa nazo (Al Ahly-Misri, AS Vita-DR Congo na JS Saoura-Algeria) naona Simba ipo katika wakati mgumu zaidi kwenye kundi hili.

Dauda anasema kila timu kati ya hizo tatu (3) inapiga hesabu za kuchukua pointi kwa ‘Mnyama’, Simba ndio inaonekana mnyonge kwenye kundi lake.

“Simba ndio mnyonge kwenye kundi lake huo ndio uhalisia, inapokuja kwenye level ya ushindani katika ngazi ya vilabu Afrika, kikosi cha Simba bado haijafikia level ya kushindana na vilabu vingine.”

Full video ya uchambuzi wangu wa Kundi D unaweza kuangalia #YouTube kupitia channel yangu ya #DaudaTV.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here