Home Dauda TV Shaffih Dauda kuhusu kichapo cha Simba

Shaffih Dauda kuhusu kichapo cha Simba

6024
0

Hivi unajua huku kitaa watu wengi bado wana maswali, Simba iliyowawashia mbungi wale  Nkana juzi kati imekuaje wamekuja kupoteana kwa Mashujaa?

Huyu mdau anawakilisha kundi kubwa la wadau ambao hawaelewi imekuaje kina Kichuya, Ndemla, Juuko na wengine kushindwa kutoboa kwa timu inayocheza madaraja ya chini.

Full video ipo #YouTube kwenye channel yangu ya #DaudaTV nikitoa mtazamo wangu kuhusu Simba kupoteza mchezo wa FA Cup mbele ya Mashujaa.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here