Home Dauda TV Simba vs Mtibwa historia mpya kuandikwa Mwanza

Simba vs Mtibwa historia mpya kuandikwa Mwanza

9072
0

Mchezo wa Ngao ya Jamii unazikutanisha Simba (mabingwa wa ligi kuu tanzania bara msimu uliopita) dhidi ya Mtibwa Sugar (mabingwa wa kombe la TFF msimu uliopita.

Mechi hii itachezawa uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza. Ni mara ya kwanza kwa mchezo wa Ngao ya Jamii kuchezwa mkoani Mwanza katika historia.

Msimu wa 2016/17 fainali ya kombe la TFF ilichezwa Dodoma (uwanja wa ukajaa asubuhi) msimu wa 2017/18 fainali ya kombe hilo ikachezwa Arusha uwanja ukatapika, Ngao ya Jamii imepelekwa Mwanza CCM Kirumba itajaa? Wakazi wa Mwanza na Kanza ya Ziwa kazi kwenu, majibu tutapata Jumamosi.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here