Home Dauda TV Simba wa Morogoro alivyomvulia kofia Cannavaro

Simba wa Morogoro alivyomvulia kofia Cannavaro

13790
0

Hakuna asiyefahamu mapenzi ya Afande Sele kwa Simba, lakini Baba Tunda Selemani Msindi aliweka kando usimba wake na kuibuka uwanja wa Jamhuri Morogoro akiwa ndani ya uzi wa Mawenzi Market kumuaga Cannavaro wakati akiachana na soka la ushindani.

Simba wa Morogoro anasisitiza wachezaji vijana wajifunze nidhamu kutoka kwa Cannavaro nje na ndani ya uwanja ili waweze kudumu kwenye soka.

Mkali huyo wa Hip Hop akasema, Simba na Yanga ni timu ambazo zinategemeana kama miguu, kwa hiyo hakuna Simba kama hakuna Yanga.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here