Home Dauda TV Simba watikisa jiji la Mwanza

Simba watikisa jiji la Mwanza

10263
0

Mashabiki wa Simba wameuteka mji wa Mwanza kwa rangi nyekundu na nyeupe za jezi ya timu yao. Walianza kwenda kuipokea timu uwanja wa ndege na baadaye kuisindikiza hadi kwenye hotelini.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here