Home Kitaifa “Simba, Yanga, zinanipa tabu”-Mwl. Kashasha

“Simba, Yanga, zinanipa tabu”-Mwl. Kashasha

5872
0

Mchambuzi wa soka Mwl. Alex Kashasha amesema Simba na Yanga zinampa wakati mgumu katika kazi yake kwa sababu ukisifia timu moja wapo mashabiki wa timu nyingine wanalalamika kwamba timu uliyoisifia una mapenzi nayo.

“Mimi naeleza kwa uhalisia kile kinachotokea uwanjani bila upendeleo wowote”-Mwl. Kashasha.

Unaweza kuangalia full #Interview kupitia YouTube channel yangu #DaudaTV

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here