Home Kimataifa Simeone atajwa kujiunga United, Valencia awindwa Italia

Simeone atajwa kujiunga United, Valencia awindwa Italia

3480
0

Vigogo wa Italia Inter Milan imeonesha nia yao ya kuhitaji huduma za beki wa kulia wa klabu ya Man United Antonio Valencia.


Miamba wa jiji la London Chelsea imeweka wazi nia yao ya kumrejesha Nathan Ake. Nathan kwa sasa anakipiga kunako klabu ya Bournemouth


Mbeya City vs Mtibwa umehairishwa kutokana na mvua kubwa inayoendelea kunyesha jijini mbeya. Mchezo huo utachezwa hapo kesho


Klabu ya Man City imesemekana inafukuzia huduma za kiungo wa Napoli kutoka Brazil Allan.


Morata anawindwa na klabu Bayern kwa mkopo


Diego Simeone nae ameongezwa kwenye orodha ya makocha wanaowaniwa na klabu Man United.


Man United imeshindwa kutoa kauli kuhusiana na Gareth Southgate kuwindwa na klabu hiyo.


Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here