Home Kimataifa Singida yamnyakua kocha kutoka Serbia, Fabregas atua Ufaransa

Singida yamnyakua kocha kutoka Serbia, Fabregas atua Ufaransa

4168
0

Kiungo wa klabu ya Chelsea, Cesc Fabregas, amejiunga na klabu ya Monaco, kwa mkataba wa miaka mitatu na nusu.

Nyota huyo mwenye umri wa miaka 31 amejiunga na timu hiyo kuungana na nyota mwenzake wa zamani wa klabu ya Arsenal, Thienry Henry, ambaye kwa sasa ndio kocha wa Monaco.

Kiungo huyo tangu awasili Maurizio Sarri, katika klabu ya Chelsea, amekuwa na mgumu sana kupata nafasi tayari msimu huu ameanza michezo sita tu kwenye ligi kuu England.

Fabregas, ameshinda mataji mawili ya ligi kuu England ,na kombe la FA Cup mara mbili.


Js Soura kwenye ligi yao:
Mechi 16, wameshinda 6 Wamepoteza 5 wanasare 5 Wamefunga mabao 14 wameruhusu mabao 7 Wanaalama 23 katika nafasi ya 5

Huku katika michezo ya awali ya klabu bingwa, hawajashinda mchezo wa ugenini wowote. Wametoa sare mmoja wamepoteza mmoja, na michezo ya nyumbani wameshinda yote.

Eneo lao la ushambuliaji linashida, sitashangaa kumuona Ulimwengu anapata nafasi na ndio akawa mwimba kwa simba.


Uongozi wa klabu ya Singida United, hii leo umeamua kuimarisha benchi la ufundi kwa kuwaajili makocha wawili kufanya kazi ambao ni rai wa Serbia na wamewahi kufanya kazi hapa nchini kwa mafanikio. Kocha mkuu Popadic Dragan na kocha Msaidizi Dusan Momcilovic


Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here