Home Ligi EPL SUPA SANDEI: Man City ni kibonde anayetaka kufuta uteja wake kwa Arsenal

SUPA SANDEI: Man City ni kibonde anayetaka kufuta uteja wake kwa Arsenal

10689
0

Arsenal v Manchester City
Mechi ya kukata na shoka mechi la kibabe

Huku Unai kule Pep

Leroy Sane anakumbukwa vyema baada ya kuwafumua Arsenal bao la 3 pale pale The Emirates stadium. Mbaya zaidi ameongezewa Riyadh Mahrez

Ushindi wa mabao 3-0 nyumbani kwa Arsenal ulikuwa ushindiwao wapili katika historia yao tokea mwaka 1975.

Ushindi wa mabao tatu 3-2 ni ushindi wa 7 kwa City dhiddi ya Arsenal tokea wameanza kukutana 1920, mchezo uliomalizika kwa mabao 2-2. City ushindi wao wa kwanza dhidi ya ulikuja mwaka 1921 kwa bao 1 kwa nunge. Kisha wao wakapigwa tena 2-1 October 1923.

Man City walishinda tena 3-2 September 1935.

September 1954 walishinda 3-2 na ilipita miaka 9 ndipo wakapata tena ushindi April 1963.

Man city wamekwenda Highbury na The Emirates mara 30 zote kwa pamoja wakatoka suluhu mara 8, na kupoteza mingine minane kushinda miwili tu.

City walipoteza mechi 5 mfululizo kwa Arsenal, kuanzia September 1929 mpaka January 1933, pia walipoteza tena mechi mfululizo kuanzka October 1956 na September 1961 na walipoteza mechi 6 mfululizo. , kiasha kuanzia February 1981 na October 1989, City walipoteza mechi 7 mfululizo. Kisha tena miaka 15 iliyofuata August 1994 na April 2009, the blues walipoteza walipoteza michezo 9 mfululizo kabla ya kupata dro ya 1-1 January 2005.

City walipokea kipigo cha mbwa koko kutoka kwa Arsenal cha mabao 5-0 mwaka October 2000. Hata hivyo mnamo October 1956 City walifungwa mabao 7-3. City walipata ushindi wao mkubwa kwa Arsenal hivi majuzi pale Emirates kwa mabao 3-0

Mchezo pekee kwenda suluhu bila kufungana ni January 2001, Pia timubhizo zimepata suluhu ya bila kufungana mara 8, na suluhu ya mabao mengi ni mabao 2-2 na wametoka suluhu ya aina hiyo mara 5 na mara ya mwisho ilikuwa April 2017.

Katika michezo 75 wameshindwa kaabisa kupata bao michezo 33 na kufanikiwa kuwaUia Arsenal kutokufunga michezo 10 tu.

Hawajawahi kukutana pengine popote zaidi ya League Cup mara 4 na FA Cup mara mbili pamoja na ligi kuu kwa michezo yote iloyobakia.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here