Home Kimataifa Taarifa kuelekea Liverpool vs Newcastle

Taarifa kuelekea Liverpool vs Newcastle

3920
0

Uwanja: Anfield

Muda 18:00 kamili jioni.

Mwamuzi: Graham Scott


Liverpool

Majogoo wa jiji la Liverpool Kwenye michezo 22 katika uwanja wa nyumbani dhidi ya Newcastle hawajahi kufungwa mchezo wowote. Mara ya mwisho Liverpool, kufungwa mchezo wa ligi kuu ndani ya Anfield dhidi ya Newcastle, ilikuwa April mwaka 1994 kwa mabao 2-0.

Ushindi: 18

sare: 4


Newcaslte walipata ushindi wao wa mwisho ara ya mwisho pale Anfield mwaka 1995 mchezo wa kombe la ligi kwa bao 1-0.


Newcastle

Newcaslte wamepata ushindi kwenye michezo miwili tu katika michezo kumi za mwisho za ligi kuu England dhidi ya Liverpool

Sare 4

Vipigo 4

Kocha wa zamani wa Liverpool ambaye kwa sasa anaitumikia Newcastle Rafael Benitez, hajashinda mchezo hata moja dhidi ya Liverpool katika dimba la Anfield

Sare 1

Vipigo 2.


PATA KIFURUSHI
Liverpool, mara ya mwisho kupoteza mchezo siku ya boxing day ilikuwa mwaka 1986-87 dhidi ya Manchester United kwa bao 1-0. Liverpool wameshinda michezo ya mwisho 8 na sare 3 ambayo walicheza walicheza boxing day


REKODI

Kufika sasa Liverpool hajafungwa mchezo wowote katika mechezo 18 ya ligi aliyocheza msimu huu.

Rekodi za hapo awali

Mwaka 1987-88 hawakufungwa michezo 29 wakatwaa ubingwa.

Mwaka 1949-50 walishindi 19 kati ya 19 wakamaliza nafasi ya 8.


UTABIRI WA KIKOSI CHA LIVERPOOL

(4-2-3-1) Alisson; Clyne, Lovren, Van Dijk, Moreno; Henderson, Fabinho; Shaqiri, Firmino, Mane; Sturridge

Au

(4-3-3) Alisson, Alexander-Arnold,Fabinho, Van Dijk, Moreno; Henderson, Wijnaldum, Keita; Shaqiri, Mane, Salah


Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here