Home Ligi EPL Taarifa kuelekea mtanange wa Burnley Vs Man United

Taarifa kuelekea mtanange wa Burnley Vs Man United

9884
0

Mchezo wa ligi kuu England kati ya Burnley, dhidi ya Manchester United mchezo huo utapigwa majira ya saa 18:00 kamili jioni kwa saa za Afrika Mashariki utachezwa katika dimba la Turf Moor


Taarifa za timu zote mbili kuelekea mchezo huo.


Burnley

Wtamkosa winga wao Johann Berg Gudmundsson, aliyepata majeruhi ya nyama za paja kocha wa Burnely Sean Dyche, akitegemea kumchezea Charlie Taylor, akitegemewa kucheza upande wa beki wa pembeni.


Manchester United

Kuelekea mchezo huo atamkosa beki wake wa kati Phil Jones, aliyepata majeraha katika mchezo uliopita huku Marcos Rojo, amerejea kikosini lakini hataraji kuanza katika mchezo huo.


Takwimu

Burnley

Katika michezo 17 waliokutana na Manchester United wameshinda mchezo mmoja tu toka walivopanda daraja kucheza ligi kuu dhidi ya Manchester United mwaka 2009 kushinda 1 sare 8 kupoteza 8.

Burnley: Mechi 10 za Mwisho

NY MT UG
L Fulham 4-2 Burnley
L Burnley 1-3 Watford
D Southampton 0-0 Burnley
L Burnley 1-2 Bournemouth
D Stoke 1-1 Burnley
L Burnley 1-2 Chelsea
W Burnley 2-1 Leicester
W Watford 1-2 Burnley
W West Brom 1-2 Burnley
W West Ham 0-3 Burnley

Manchester United

Katika michezo 10 waliocheza uwanja wa Burnley, wametoka bila kuruhusu bao michezo tisa.

Man United: Mechi 10 za Mwisho

NY MT UG
L Man United 0-3 Tottenham
L Brighton 3-2 Man United
W Man United 2-1 Leicester
L Chelsea 1-0 Man United
W Man United 1-0 Watford
D West Ham 0-0 Man United
L Brighton 1-0 Man United
W Man United 2-1 Tottenham
W Bournemouth 0-2 Man United
L Man United 0-1 West Brom

 

Sean Dyche

Kocha huyo mkuu wa Burnley amepoteza michezo yote sita tangu akutana na Jose Mourinho.

Burnley

Wamepata alama moja tu katika timu 9 za juu msimu uliopita alitoa sare ya Manchester City 1-1 katika uwanja wao wa nyumbani.


Burnley vs Man United Head-to-Head

M NY MT UG
2018-09-02 PL Burnley 0-0 Man United
2017-12-26 PL Man United 0-0 Burnley
2016-10-29 PL Man United 0-0 Burnley
2015-02-11 PL Man United 3-1 Burnley
2014-08-30 PL Burnley 0-0 Man United
2010-01-15 PL Man United 3-0 Burnley
2009-08-18 PL Burnley 1-0 Man United

 

Alexis Sanchez

Amefunga mabao manne katika michezo 5 aliyokutana na Burnley.


 

Usiache kufika banda umiza ujitazamie kupitia dstv uone jinsi Mourinho atapasua mtu leo. Halafu nasikia Ed Woodward tumbo joto..


Taarifa na Privaldinho (Instagram

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here