Home Ligi EPL Taarifa kuelekea mchezo wa Cardiff vs Arsenal

Taarifa kuelekea mchezo wa Cardiff vs Arsenal

10053
0

Mchezo wa ligi kuu England Cardiff City, dhidi ya Arsenal, mchezo huo utapigwa mapema sana kwa saa za Afrika Mashariki Saa 15:30 jioni Cardiff City stadium.


Taarifa za timu zote mbili kuelekea mchezo huo.


Cardiff CityNathaniel Mendez, ambaye mchezo uliopita alipata majeraha ya goti na anatarajiwa kukaa nje kwa muda wa miezi mitatu Junior Hollet, ana mechi fitness, ataka ukosa mchezo huo na Aron Gunnarson, nae atakuwa nje kwenye mchezo huo.ArsenalMesut Ozil, ambaye mchezo uliopita aliukosa baada ya kutokuwa vizuri kiafya na anatarajiwa kuanza katika mchezo huo huku pia kiungo wao Lucas Torreira anatarajiwa kuanza mchezo wake wa Kwanza huku Arsenal ikiwa haina majeraha yoyote.Takwimu.Cardiff, hajashinda mchezo hata mmoja katika michezo 13 waliokutana na Arsenal.

Mechi 3 za mwisho

Cardiff City M W D L
Ujumla 3 0 2 1
Home 1 0 1 0
Away 2 0 1 1
Arsenal M W D L
Overall 3 1 0 2
Home 2 1 0 1
Away 1 0 0 1

Danny WelbeckKama ataanza au kuchez mchezo wa leo basi atafikisha mchezo wake wa 200 katika ligi kuu England.

H2H

07 Jan 2006 Arsenal v Cardiff L 2-1 FA
25 Jan 2009 Cardiff v Arsenal D 0-0 FA
16 Feb 2009 Arsenal v Cardiff L 4-0 FA
30 Nov 2013 Cardiff  v Arsenal L 0-3 PL
01 Jan 2014 Arsenal v Cardiff L 2-0 PL

Habari na Admila Patrick

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here