Home Kimataifa Taarifa za magazeti ya Ulaya, Pogba kumfuata Coutinho?

Taarifa za magazeti ya Ulaya, Pogba kumfuata Coutinho?

8524
0

 

the times
  • .Mchezaji wa zamani wa Manchester City captain Yaya Toure amekubali kujiunga na klabu ya Olympiakos.
  • Kocha mkuu wa Southampton Mark Hughes amesisitiza kuwa Manolo Gabbiadini hatotolewa kwa mkopo hivyo anapaswa kupambania namba klabuni hapo
  • Ashley Young anatatajia kuondolewa kwenye kikosi cha timu ya taiifa ya  England na kocha mkuu Gareth Southgate.
the guardian
  • Luke Shaw huenda akajumuishwa kwenye kikosi cha bwana Gareth Southgate kwenye kikosi chake cha England huku mshambuliaji wa Bournemouth  Callum Wilson akitarajia kuitwa pia.
daily telegraph
  • Mshambuliaji wa Stoke Eric Maxim Choupo-Moting anasakwa na klabu ya Paris Saint-Germain,  huku kiungo Giannelli Imbula akitarajia kwenda Rayo Vallecano kwa mkopo wa mwaka mmoja.
daily express
  • Paul Pogba yupo mbioni kufuata nyayo za Philippe Coutinho kwenye dirisha dogo la usajili mwezi januari ili kujiunga na miamba ya Barcelona.
daily mirror
  • Olivier Giroud amedai kuwa hana mpango wa kuondoka Chelsea.
the sun
  • Ruben Loftus-Cheek anataka kuondoka Chelsea na kwenda  Schalke au Monaco kwa mkopo kwani anaamini kuwa hapati muda wa kutosha.
  • Kiungo wa Barcelona Rafinha anatarajia kutua Real Betis.
daily star
  • Celtic huenda ikampoteza kiungo wa Manchester City Douglas Luiz baada ya kushindwana nae kwenye maslahi binafsi na kiungo huyo anatatajia kujiunga Fenerbahce kwa mkopo

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here