Home Dauda TV Tshabalala awapa matumaini Simba

Tshabalala awapa matumaini Simba

2848
0

Wawakilishi wa Tanzania kwenye ligi ya mabingwa Afrika Simba, kesho watakuwa uwanjani kucheza dhidi ya Al Ahly kwenye mchezo mwingine wa hatua ya makundi ambao utachezwa kuanzia saa 10:00 jioni katika uwanja wa taifa.

Nahodha wa Simba Mohamed Hussein Tshabalala amesema wachezaji wote wanatambua umuhimu wa mchezo huo, wanawaomba mashabiki wajitokeze kwa wingi kwa ajili ya kuwapa support.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here