Home Kitaifa “Tulipanga kucheza fainali SportPesa”-Zahera Mwinyi

“Tulipanga kucheza fainali SportPesa”-Zahera Mwinyi

3328
0

Baada ya Yanga kuondoshwa kwenye michuanonya SportPesa 2019 kwa kufungwa 3-2 na Kariobangi Sharks ya Kenya, kocha wa Yanga Zahera Mwinyi amesema safari ya kutoka Shinyanga walikocheza mchezo wa ligi kuu kuja Dar imewaathiri kwa kiasi kikubwa katika mchezo wa leo.

“Wachezaji walikuwa wazito kipindi cha kwanza na hiyo ilisababishwa na mechi tuliocheza juzi, ilikuwa mechi ya nguvu bado safari ndefu wachezaji hawakupata muda wa kupumzika”-Zahera Mwinyi, kocha Yanga SC.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here