Home Dauda TV Tunda aitaka Yanga “Zile 5 tulizopigwa na mwarabu tunalipa kwao”

Tunda aitaka Yanga “Zile 5 tulizopigwa na mwarabu tunalipa kwao”

3547
0

Shabiki kindakindaki wa Simba msanii wa Bongo Fleva TundaMan wakati akifurahia wa 1-0 ilioupata Simba dhidi ya Al Ahly kwenye ligi ya mabingwa Afrika amesema Yanga waanze kutia maji vichwa vyao kwa ajili ya kunyolewa.

Baada ya Simba kushinda mchezo dhidi ya Ahly Jumanne February 12, 2019 mchezo unaofuati ni wa watani wa jadi Yanga vs Simba ambao utachezwa Jumamosi February 16, 2019 uwanja wa taifa.

Angalia full video hapa chini #YouTube kwenye channel yangu ya #DaudaTV bofya PLAY▶kuangalia mwanzo mwisho.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here