Home Kimataifa Tutarajie nini kutoka kwa Ole Gunnar

Tutarajie nini kutoka kwa Ole Gunnar

6175
0

Amerudi tena ugani Old Trafford. Amekuja kuokoa tena jahazi baada ya kufanikiwa kuiokoa United dhidi ya Bayern 1998. Anaitwa Ole Gunnar Solskjaer alipachikwa jina la baby face assassin.

WASIFU
MAJINA Ole Gunnar Solskjær
KUZ 26 Feb 1973 (45)
MAH Kristiansund, Norway
KIMO 1.78 m (5 ft 10 in)
NAF FOWADI

Manchester United Baada ya kumtimua Jose nyota huyu wa Norway Solskjaer amepewa jukumu la kuionoa United. Kuna mengi ya kujiuliza sana, je ataweza mfupa huu uliomshinda fisi.

United kwa sasa ipo nyuma alama  19 dhidi ya mahasimu wao wakubwa Liverpool.

Tutarajie mfumo gani

Solskjaer mara nyingi alikuwa akitumia zaidi mfumo wa  4-2-3-1. Lakini mfumo huo haukuwa ukimpa kile alichokuwa akipigania. Mfumo huu Jose alitumia mara nyingi ingawa nae ulimfekisha. Solskjaer alipokuwa  Molde Msimu wa  2018 aliutumia mfumo huu na mambo yake mara kadhaa yalienda mrama.

Lakini baada alihamia katika mfumo wa  4-1-4-1 ambapo Molde ambapo alishonda mechi zake 8 kati ya 9 za mwisho na kumaliza msimu nafasi ya 2 nyuma ya mabingwa Rosenborg kwa alama 5.

Alipotua Cardiff, Solskjaer alitumia tena mfumo 4-2-3-1 ambapo alifeli kwa koasi kikubwa.

Soka lake Utotoni
1989–1990 Clausenengen
Timu za wakubwa
Mwaka Timu M G
1990–1995 Clausenengen
1995–1996 Molde 38 (31)
1996–2007 Manchester United 235 (91)
Jumla 273 (122)
Timu ya taifa
1995–2007 Norway 67 (23)

Fabio da Silva na Declan John walitumika kama mabeki wa kupanda na kushuka, huku Solskjaer akimtumia Mnorway mwenzake  Mats Moller Daehli made kama namba 10, pamoja na Jordon Mutch kama mpishi wa dimba la juu.


Ole Gunnar Solskjaer #PL akiwa na ManUtd:

235 Mechi
91 Magoli
37 assists

Mataji 6 🏆🏆🏆🏆🏆🏆 


Solskjaer’s baadae alibadilisha mfumo ambapo Eirik Hestad – katika mfumo huu wa  4-1-4-1 Alifunga mabao 15, 2018 na Fredrik Aursnes Akafunga mabao 10 licha ya kwamba alikuwa kiungo.

Kuna uwezekano akabadilika kutoka kwenye mfumo 4-2-3-1 ambao umezoeleka sana OT na kwenda kwenye mfumo wa 4-1-4-1 ambao utamfaidisha sana Paul Pogba ambaye atatumia kama bolti ya kuunganisha vyuma. Nemanja Matic amekuwa katika kiwango kibovu sana na kuna uwezekano mkubwa sana Ander Herrera akatwaa nafasi yake.

Timu alizofundisha
2008–2011 Manchester United B
2011–2014 Molde
2014 Cardiff City
2014–2016 Clausenengen U19
2015– Molde
2018– → Manchester United (Mpito)

Jesse Lingard na Juan Mata watapigana vikumbo kwenye nafasi ya No.10 ambayo ndiyo silaha kubwa ya Ole. Anthony Martial na Marcus Rashford watasimama pembeni ili kumsaidia Romelu Lukaku, ingawa bado kuna wasiwasi juu ya nani haswa ataanza kati ya Martial, Rashford au Alexis Sanchez.


Ole Gunnar Solskjaer Premier League akiwa kocha wa Cardiff:

Mechi — 1⃣8⃣
Ushindi — 3⃣
Sare– 3⃣
Vipigo 1⃣2⃣
Asilimia za  — 1⃣6⃣.7⃣


Solskjaer ni kocha ambaye anapenda zaidi mfumo wa kushambulia sana kitu ambacho kitampa heshima kubwa kutoka kwa mashabiki wa United.

TAKWIMU ZAKE KAMA KOCHA

Club Kua Kum Muda Cheo M W D L PPM
Molde FK 2018 -2018 163 Kocha
Manchester United 2018 2019 163 Muda
Molde FK 2015 (2018) 1154 Kocha 118 66 19 33 1,84
Cardiff City 2014  2014) 259 Kocha 30 9 5 16 1,07
Molde FK 2011 2013) 1095 Kocha 123 68 24 31 1,85
Manchester United U23 2008 2011 913 Kocha 25 16 5 4 2,12
PPM wastani wa alama kila mechi

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here