Home Kimataifa Tuzo za mwezi ligi kuu England hizi hapa

Tuzo za mwezi ligi kuu England hizi hapa

11994
0

Kocha bora wa mwezi

Kocha wa klabu ya Watford, Javi Gracia, ametwaa tuzo ya kocha bora wa Mwezi August, katika ligi kuu England.

Mchezaji bora wa mwezi

Mshambuliaji wa klabu ya Tottenham, Lucas Moura, baada ya kuiadhibu Manchester United ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa Mwezi August katika ligi kuu England

Goli bora la mwezi

Mshambuliaji wa klabu ya Fulham, Jean Michael Seri ametwaa tuzo ya goli bora la Mwezi August, katika ligi kuu England. Seri, alifunga bao katika mchezo wa ligi kuu England dhidi ya Burnley, hapo Mwezi August 26

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here