Home Dauda TV Uchambuzi wa Shaffih Dauda Simba vs Al Ahly

Uchambuzi wa Shaffih Dauda Simba vs Al Ahly

6274
0

Kuelekea mchezo wa Caf Champions League hatua ya makundi Simba vs Al Ahly, watu wengi wamekuwa wakiamini Simba ina nafasi ya kushinda mchezo huo kwa kutumia faida ya uwanja wa nyumbani.

Shaffih Dauda yupo tofauti kidogo na watu wengi wanaoamini mnyama atalamba pointi mbele ya Al Ahly. Jamaa anasema game itakuwa ngumu kwa sababu Ahly wanatambua mchezo huo ni kama fainali kwao na endapo watashinda watajiwekea mazingira mazuri ya kufuzu robo fainali.

Dauda anawapa Ahly nafasi kubwa ya kushinda mechi hiyo japo anaamini inaweza kutokea Simba wakafanya kinyume na anachofikiria yeye.

Hapa chini kuna video Shaffih Dauda akitoa maoni na mtazamo wake kuelekea game hiyo, bofya PLAY▶uangalie mwanzo mwisho halafu na wewe unipe mtazamo wako kwa kuniandia comment yako hapo chini.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here