Home Kimataifa Ufaransa Vs Uholanzi: Huku Depay kule Pogba

Ufaransa Vs Uholanzi: Huku Depay kule Pogba

8010
0

Wafaransa leo watawakaribisha wadachi mbele ya mashabiki 81,000 ndani ya Stade de France kule Paris. Mchezo wa kwanza mashindano haya ya Uefa ligi Ufaransa walitoka sare tasa na wajerumani. Mchezo huu utachezwa majira ya Saa 3:45


France vs Netherlands H2H

Wamekutana mara 26, Les Blues wameshinda mara 13, hukua wafachi wakishinda mara 10 na kutoka sare 3. France wameshinda michezo yote minne ya mwisho.

UHOLANZI

Mabeki wawili wa Liverpool Virgil van Dijk na Georginio Wijnaldum wote walianza pale Amsterdam pamoja Daryl Janmaat na Nathan Ake pamoja na wachezaji wengine wa Premier League kwenye kikosi cha Netherlands.

Frenkie de Jong alicheza mchezo wake wa kwanza kwenye ushindi wa mabao 2-1 Peru. Katika michezo 6 ya mwisho ya uholanzi wamepoteza mmoja tu

Legendari wa Holland mwenye miaka 34 Wesley Sneijder alioata nafasi ya kuchezea taifa hilo mchezo wake wa mwisho kwa taifa lake.

Takwimu za Wesley
 M  G Y YR   R  D
Jumla : 134 31 31 12 9.832′
55 10 13 5 3.536′
30 8 10 4 2.573′
24 5 2 1 1.542′
17 6 3 2 1.554′
8 2 3 627′
Wesley atakosekana katika mchezo huo huku akishikilia rekodi ya kuwa mchezaji pekee mdachi kucheza michezo mingi kuliko mchezaji mwingine katika timu ya taifa. Aliitumikia holanda kwa takribani miaka 15 kwa michezo 134 huku akiwa hajawahi kupewa kadi nyekundu kabisa.

Mchezaji wa zamani wa Manchester United Memphis Depay alifunga mabao mawili lakini mchezaji mwenzake wa Man united Timothy Fosu-Mensah hakupata nafasi ya kucheza.

UFARANSA

Mlinda lango wa PSG Alphonse Areola alionesha kiwango kikubwa na huenda mchezo pia akaanza tena.

Kama tunavyojua Hugo Lloris ana majeraha na nafasi yake imechukuliwa na Benjamin Lecomte. Ufaransa hawajafungwa katika michezo yao 6 iliyopita.

Takwimu za mechi zao za hivi karibuni kwa kila timu.

France Netherlands
Kumiliki
G kwa M
Y kwa M
R kwa M
Mashuti
Goli@Shuti
Kuotea 0.92 1.89
Kona@goal 5.64 5.56
Kona@ Mechi 9.46 8.67


Takwimu za vikosi vyote kwa ujumla

France Netherlands
Magoli kufunga 101 1.98@ 76 1.90@
Magoli kufungwa 47 0.92@ 48  1.20@

Kwenye kikosi cha sasa cha Ufaransa mfungaji bora ni Oliver Giroud mwenye mabao 22.

Mchezaji G
1 Olivier GiroudGiroud

22
2 Antoine Griezmann Griezmann

19

Mfungaji bora ni Arjen Roben akifuatiliwa na Depay.

Mchezaji G
1 Arjen Robben Robben

11
2 Memphis Depay Depay

9

 

Mtazamo wangu

Uholanzi bado wanaweweseka kurudi katima ubora wao. Ufaransa wao wapo vizuri hasa ukizingatia wao ni mabingwa wa dunia. Ni ngumu sana kuwafunga ufaransa kwenye ardhi hao ya nyumbani.

Wachezaji wengi wa Ufaransa wana mafanikio na uzoefu mkubwa. Lakini waholanzi wengi ni wachezaji wachanga. Kikoso chao sio cha kutisha kivile ingawa soka limebadilika lakini hatuwezi kukataa kwamba uzoefu ni hoja.

Makipa: Jasper Cillessen (Barcelona), Jeroen Zoet (PSV Eindhoven)

Mabeki: Kenny Tete (Lyon), Matthijs de Ligt (Ajax), Virgil van Dijk (Liverpool), Daley Blind (Ajax), Daryl Janmaat (Watford), Stefan de Vrij (Inter), Nathan Ake (Bournemouth)

Viungo: Georginio Wijnaldum (Liverpool), Kevin Strootman (Marseille), Davy Propper (Brighton), Donny van de Beek (Ajax), Marten de Roon (Atalanta), Frenkie de Jong (Ajax)

Mafowadi: Ruud Vormer (Club Brugge), Memphis Depay (Lyon), Ryan Babel (Besiktas), Luke de Jong (PSV Eindhoven), Quincy Promes (Sevilla), Tonny Vilhena (Feyenoord), Justin Kluivert (AS Roma)

Kwangu Ufaransa atashinda mabao zaid ya mawili.


Makala na Privaldinho (Instagram)

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here