Home Kimataifa Uingereza vs Hispania ndani ya Wembley Usipime!!

Uingereza vs Hispania ndani ya Wembley Usipime!!

9921
0

Timu ya taifa ya Hispania imesafiri mpaka Wembley kukutana na Waingereza kwenye mchezo wao wa Uefa national league. England na Hispania hawajawahi kukutana kwenye mchezo wa mashindano tokea mwaka 2001. Na katika michezo yote 25 waliokutana wamekutana mara 6 tu kwenye mechi za mashindano.


Kocha mkuu wa England Gareth Southgate kuelekea mchezo huo amemzungumzia kinda wa Watford Willy Hughes. Miaka ya hivi karibuni nilimuongelea kijana huyo na kusema ni kijana  mwenye uwezo makubwa sana. Southgate amesema ana matarajio makubwa na kinda huyo.

Taarifa binafsi
Majina William James Hughes
Kuz 17 April 1995 (23)
Mah Weybridge, England
Kimo 6 ft 1 in (1.85 m)
Nafasi Kiungo

Southgate hajamuita Hughes ambaye aliwatandika Burnley bao la mbali hivi majuzi. Southgate amesema kwa sasa anamfuatilia kwa karibu sana kinda huyo, pamoja na kinda wengine kama vile Chalobah Rose Barkley na Collum.


ENGLAND

England watakosa huduma za Jamie Vardy na Gary Cahill ambao wote wamestaafu kucheza soka la kimataifa. Wachezaji wengine wawili wana majeraha, Raheem Sterling (mgongo) na Adam Lallana (kiuno). Golikipa wa Southampton Alex McCarthy anatarajia kuanza mchezo wake wa kwanza baada ya kuitwa kwa mara yake ya kwanza.

Matokea mechi za mwisho za England

England 0-1 Belgium
Colombia 1-1 England
Sweden 0- 2 England
Croatia 2-1 England
Belgium 2- 0 England

Tafsiri ya Takwimu

  • England wamecheza michezo 10 mwaka 2018 wameshinda 7,  wametoka sare mara 1 na kufungwa mara 3.
  • England wamefunga mabao 14 goals na kufungwa mabao 10.

HISPANIA

wataanza kibarua chao bila David Silva, Andres Iniesta na Gerard Pique ambao wamestaafu soka la kimataifa. Hispania sasa itaanza kutegemea huduma za kiungo wa Real Madrid Marco Asensio chini ya kocha wao mkuu Luis Enrique.

Mechi za Mwisho wa Hispania

Tunisia 0-1 Spain
Portugal 3-3 Spain
Iran 0-1 Spain
Spain 2-2 Morocco
Spain 1-1 Russia

Tafsiri ya Takwimu hizo

  • Spain wamecheza michezo  8 kwa mwaka 2018 wameshinda 3, maetoka sare 4 na kupoteza mchezo mmoja tu.
  • Wamefunga mabao 16 na kuruhusu mabao 12 .

Kocha mpya wa Hispania Enrique amemtema Jodi Alba kwenye kikosi chake. Wakati Enrique anondoka Barcelona 201u Alba alisema kuwa anajiona mwenhe furaha zaidi kwenye kikosi cha Kocha mpya bwana Valverde. Kuachwa kwa Alba kunadhihirsha wazi kuwa ameachwa kwa sababu za ugomvi wao binafsi. 

Huu ni mchezo wa kwanza tokea watolewe kwenye michuano ya kombe la dunia chini ya kocha mkuu  Hiero.


 

England Vs Spain H2H

  • Wote wamekutana mara  25, England wameshinda mara  13, na Spain kushinda mara  9 na kutoka sare mara 3.
  • Michezo yao  5 h2h Spain wameshinda 3, England wameshinda mara moja na kitoka sare 1.
  • Mara yao ya mwisho kukutana ilikuwa 15-11-2016 na walitoka sare ya  2-2 kwenye mchezo wa kirafiki
28 Feb 2001 England v Spain 3-0 kiraf
17 Nov 2004 Spain v England 1-0 kiraf
07 Feb 2007 England v Spain 0-1 kiraf
11 Feb 2009 Spain v England 2-0 kiraf
12 Nov 2011 England v Spain 1-0 kiraf
13 Nov 2015 Spain v England 2-0 kiraf
15 Nov 2016 England v Spain 2-2 kiraf
08 Sep 2018 England v Spain UEFA

Vikosi vinavyotarajia kuanza

England: Pickford; Walker, Stones, Maguire; Trippier, Henderson, Shaw; Alli, Lingard; Rashford, Kane

Spain: De Gea; Carvajal, Ramos, Albiol, Alonso; Thiago, Busquets, Saúl; Asensio, Morata, Isco

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here