Home Kimataifa Ulimwengu kafanya yake huko Algeria

Ulimwengu kafanya yake huko Algeria

5023
0

Thomas Ulimwengu jana aliifungia JS Saoura kwenye mchezo wa ligi ya Algeria (League 1) na kuisaidia kupata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya DRB Tadjenanet.

Thom alifunga bao la kwanza dakika ya 82 kabla ya Boukbouka kufunga bao la pili dakika ya 90.

Saoura ipo nafasi ya 6 kwenye msimamo wa ligi yenye timu 16, imecheza mechi 20 imeshinda 8, sare 6 na kupoteza 6. Kinara wa ligi ni USM Alger ambayo imecheza mechi 22 na kukusanya pointi 45 hadi.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here