Home Kimataifa Unamtaka Eriksen? Andaa Tsh bilion 675

Unamtaka Eriksen? Andaa Tsh bilion 675

4712
0

Mwenyekiti wa Spurs Daniel Levy amesema dau la Christian Eriksen ni Tsh Bilion 675. Hi ni mara baada ya Vilab vya Madrid na Barcelona kumuwinda nyota huyo kutoka Denmark


Taarifa zinasema kuwa huenda Ander Herrera anatarajia kusaini mkataba mpya. Nyota huyo wa kihispaniola hivi mapema alikutana na Ole Gunna kuhusiana na uwezekano wa yeye kubakia klabuni hapo.


Arsene Wenger anawindwa na taifa la Qatar kuwa mkufunzi wao. Chanzo kutoka Ufaransa zimetanabaisha kuwa Wenger anawindwa na taifa hilo ambalo 2022 linatarajia kuandaa kombe la dunia


Mauro Icard anawindwa na Chelsea kwa dau la £100M. Pia kuna tetesi fowadi matata wa Argentine ambaye kwenye ngazi ya vilabu ana magoli 290 Gonzalo Higuaini anatarajia kutua Darajani pia.


Jean Todibo kutoka Toulouse amejiunga na klabu ya Barcelona bure. Kinda huyo mwenye miaka 19 amekuwa akitajwa sana kama Varane mpya


DONE DEAL: Benjamini Pavard amejiunga rasmi na Bayern Munich kwa mkataba wa miaka mitano.


United ipo tayari kumtoa Andreas Perreira kwa klabu ya Fiorentina ili kumnasa beki wa Nikola Milenković


Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here