Home Ligi EPL United 0-3 Spurs: Hali ya Mourinho pale Old trafford ipo hatarini sana

United 0-3 Spurs: Hali ya Mourinho pale Old trafford ipo hatarini sana

9649
0

Mtu mzima amepigwa kipigo cha mabao3-0 kutoka kwa Tottenham ndani ya uwanja wao wa nyumbani. Hiki ni kipigo kiku wa zaidi nyumbani kwa Jose Mourinho tokea awe mkufunzi.

Ni kwa mara ya kwanza tokea mwaka 2012 Man United kupoteza michezo miwili mfululizo kwa idadi ya mabao zaidi ga 5.

Ni Harry Kane na mabao mawili kutoka Lucas Moura aliyewatosa United miaka kadhaa iliyopita na kutimkia PSG.

” style=”width: 384px; max-width: 100%; display: block !important;”>Jose Mourinho is in deep trouble now at Manchester United

Jose Mourinho yupo kwenye presha kubwa sana ndani ya Manchester United kwa sasa. Walio wengi wanamtaja Zidane kama mrithi wake

Hii ni kwa mara ya kwanza tokea 1992 united kuanza msimu vibaya baada ys kioigo kutoka kwa Brighton. Jose Mourinho kwa sasa hana tena uaminifu ndani ya kikosi cha united. Amekwisha onesha dalili za kufeli kwa asilimia nyingi mno.

Miaka 26 iliyopita Sir Alex Ferguson alianza msimu vibaya sana lakini akabeba ubingwa. Je hii itakuwa sawa kwa mwaka huu tena? Je nani yupo tayari kumvumilia Mou?

Baada ya mchezo Mourinho ameonekana kumsifia Luke Shaw pekee yake.

Pia amesema kupoteza mchezo wa leo hakuondoi heshima yake kama bingwa wa EPL mara 3.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here