Home Kimataifa Waamuzi 18 wapigwa pini Nigeria

Waamuzi 18 wapigwa pini Nigeria

2595
0

Chama cha waamuzi nchini Nigeria ‘The Nigeria Referees Association’ (NRA) kimewasimamisha waamuzi 18 kusimamia mechi za ligi ya Nigeria Nigeria Professional Football League (NPFL) inayoendela msimu huu.

Waamuzi waliosimamishwa wanasubiri kufanyiwa uchunguzi kutokana na tuhuma mbalimbali zinazowakabili.

Kumekuwepo na shutuma nyingi kwa waamuzi kwenye ligi na michezo mbalimbali ambayo inachezwa nchini Nigeria. Kwa hiyo kamati ya waamuzi imeamua kwa maslahi ya mpira wa nchi, waamuzi wasimamishwe, wachunguzwe na ikigundulika wanahusika na tuhuma zinazowakabili hatua kali zichukuliwe dhidi yao.

Huu ni mfano mzuri wa kuigwa!!

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here