Home Uncategorized Waandishi wa habari wanafanya kazi katika mazingira magumu

Waandishi wa habari wanafanya kazi katika mazingira magumu

10443
0

Waandishi wa habari za michezo ni aibu kubwa sana kupigwa ikiwa hajavunja sheria za nchi. Ni aibu mno. Tena mbaya zaidi akiwa uwanjani. Uwanjani ni sehemu ya furaha na burudani. Askari hawana mamlaka yeyote kumzuia au kumpiga mwandishi bila sababu zote. Hata kama sababu ya kumpiga ipo lakini hairuhusiwi kumpiga ila kumfikisha kwenye chombo husika. Nimejaribu kuangalia matukio mbalimbali ambayo wandishi wanakumbana nayo viwanjani.

Matukio mabaya kwa waandishi wa habari za Michezo
Somalia 17 Aprili 2008 Waandishi wa habari Muse Mohamed Osman na Shafici Mohyaddin Abokar, walikamatwa kwenye mkutano wa Raisi wa shirikisho la soka la Somalia, Somalia Sports Press Association (SSPA) . Walikamatwa mjini Mogadishu na askari walikamatwa na kutishiwa maisha na askari hao kabla ya waandishi wengine wa habari wanne Ibrahim Abdi Hassan, Abdi Kamil Yusuf, Mohamed Abdullahi na Mohamed Kafi Ali kushikilowa na polisi. Waandishi wote walochukuliwa kwa ulinzi mkali kama magaidi

Taarifa na SSPA&IFJ

Peru 24 April 2007 Mkurugenzi wa taasisi ya michezo nchini (Peru’s Sports Institute), Bwana Hugo Catalán Loayza, alimpiga mwandishi Hernán Farfán Cruzado, Alimpiga kwa sababu mwandishi huuo aliandika taarifa inayohusu matumizi mabaya ya fedha za umma kwa bwana Catalán Loayza. Mkurugenzi huyo alisema mwandishi yeyote atakaye mwandika vibaya .

Source: IFEX

Liberia 31 March 2007 Mwandishi Julu Johnson, alipigwa na katibu wa shirikisho la soka nchini huko Liberia Football Association (LFA), Mr. Napoleon Jaeploe,

Source: allAfrica.co

Brazil 17 January 2007 Mtangazaji wa kituo cha radio Gaucha bwana Rafael Serra alipigwa na mashabiki wa klabu ya Gremio ilipokuwa ikimtambulisha kipa wao mpya kwenye uwanja mdogo wa ndege kwa madai kuwa kotuo chake cha redio kimekuwa kikitoa taarifa mbaya pekee za klabu yao.

Source: IFEX

Argentina 12 November 2006 Mwandishi Juan Manuel Allan wa gazeti la “Olé” na mtangazani wa kituo cha Tv bwana Osvaldo Fanjul kutoka TyC walipigwa na mashabiki wenye hasira kali baada ya klabu yao kufungwa.

Source: IFEX

Honduras 19 August 2006 Mwandishi Heribaldo Lainez wa gazeti la Diario Tiempo na Radio America alipigwa usoni na mchezaji Jairo Martinez alipkuwa akimhoji kwa madai kuwa mwandishi huyo Lainez aliandika maneno tofauti na yale aliyoongea

Source: IFEX

Swaziland 16 July 2006 Mwandishi Ntokozo Magongo kutoka Times alipogwa na mashabiki walipokuwa wakipigana alipojaribu kuhukua picha za yukio hilo la vurugu mashabiki hao wakamgeukia na yeye.

Source: IFEX

Swaziland 15 July 2006 Mwandishi Sabelo Ndzinisa kutoka Times la Swaziland alipogwa makonde na mchezaji Dumisa Masika kwa madai kuwa gazeti hilo limekuwa na tabia ya kumuandika vibaya kila uchao

Source: IFEX

Croatia 17 June 2006 Mwandishi Stipe Pudja wa gazeti la Croatian newspaper, Vercernji alitimiwa vitisho vya kifo baada ya kuandika waraka unahusu mauzo ya tiketi feki za kombe la dunia.

Source: Dawn.com

Peru 2 May 2006 kikundi cha wachezaji na viongozi wa klabu ya Sport Ancash walitoa kichapo kwa waandishi wa habari ambao walipoteza kamera zao na kipaya majeraha makubwa kwa madai kubwa wamekuwa wakiwafuatilia sana kila mara.

Source: IFEX

Bangladesh 16 April 2006 Kikundi cha maaskari 25 waliwavamia waandishi 20 waliokuwa wakichukua matikio uwanjan kwenye mchezo wa Bangladesh na Australia. Waandishi hao walikuwa wamebeba mabango na tisheti zilizokuwa zinapinga matukio mabaya dhidi ya polisi hasa baafa ya mwandishi mmoja kipigwa na poloso alipokuwa akifanya mahojiano na mashabiki serikali ya nchi hiyo ikaamua kuweka bodi huru kuchunguza tukio hilo na polisi wote walifukuzwa kazi

Source: International News Safety Institute

Denmark 26 March 2006 Wadhamini wa ligi ya mpira wa mikono nchini humo Danish handball club, Aalborg DH, walimtishia kifo mkurugenzi wa gazeti la michezo Mikkel B, pamoja na waandishi wengine wa Ottesen, Nordjyske Medier, wadhamini hao walidai kuwa gazeti hilo lilkandika taarifa za uongo

Source: Nordjyske Medier

Guatemala 22 January 2006 Askari walivamia nyumba ya mwandisbi Manuel Gilberto Garcia na silaha za moto huki wakifyatua risasi ovyo. kwa kipindi kirefu mwandishi huyo alitishiwa kuuwawa kama ataendelea kuandika taarifa zake

Source: IFEX

Sweden 20 December 2005
10 January 2006
Mwandishi Fredrik Persson wa Radio yaa Swedish Radio Bleking alitishiwa maisha baada ya kuandika taarifa za kusajiliwa kwa mchezaji kitoka klabu ya, Mjällby AIF.

Source: Swedish Radio Blekinge

Malta 8 September 2005 Kikundi cha waandishi wa habari na watangazani wa tv-kutoka CroatiaTelevision walivamiwa na askaro wa Maltese na kiwapiga na kuwataka wawape vifaa vyao vyote kwa ajili ya uchunguzi. Vyombo vyao vilivunjwa vyote na kufukuzwa.

Source: HRT1 TV, Zabreb, in Croatian, 8 September 1730 gmt

Botswana 31 August 2005 Mwandishi wa Mmegi sports, Tshepo Molwane, was alivamiwa na mchezaji na kupewa kichapo cha haja kwa madai kuwa hakupendezwa na habari aliyoandika kimhusu

Source: AllAfrica

Brazil 3 June 2005 mchukua pivha Josè Carlos Fornerna mwandishi Robson Xavier kutoka CaTV walikiwa wakifanya mahojiano na timu iliyofungwa. Timu iloyofungwa ikawa inalalamika kuwa marefa waliwahujumu. Polisi walipofika pale waliwataka waskendelee na mahojiano. Baada ya dakika kadhaa polosi walitpa kichapo kwa aloyekuwa akihojiwa pamoja na waandishi wale w habari. Mwandishi yule alijeruhiwa na risasi mguun

Source: Committee to Protect Journalists

China 7 August 2004 Kikundi cha maaskari kilivamia waandishi wa habari wawili Han Guan Ng na Frederick Brown, wiokiwa wamichukua pocha za matukio nje ya uwanja.

Source: Committee to Protect Journalists

Argentina 3 October 2002 Mwandishi wa habari Catherina Gibilaro wa the daily Uno alipigwa na askari wa Mendoz Provincial Police officer, alipokiwa akiripoti mchezo jiji Mendoza bila sababu zozote za msingi kwa madai kuwa hakuruhusiwa wala hakuwa na kibali cha kufanya hivyo

Source:IFEX

Polisi fanya kazi yako mwache na mwandishi atimize wajibu wake.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here