Home Dauda TV Waarabu wamesalimu amri Simba noma!!

Waarabu wamesalimu amri Simba noma!!

3181
0

Mashabiki wachache wa JS Saoura waliosafiri na timu kutoka Algeria hada Dar kushuhudia timu yao ikicheza mechi ya ligi ya mabingwa Afrika hatua ya makundi dhidi ya Simba wamekiri kuwa Simba ni timu nzuri huku wakitaja baadhi ya wachezaji waliokuwa hatari katika mchezo huo.

“Simba ni timu nzuri na inawachezaji wazuri…Kagere ni mchezaji mzuri”-baadhi ya maneno kutoka kwa shabiki wa JS Saoura baada ya jana timu yake kuchezea kipigo cha mabao 3-0.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here