Home Dauda TV Wachezaji wenye RASTA wana vitu gani vya kipekee?

Wachezaji wenye RASTA wana vitu gani vya kipekee?

3391
0

Kwenye kikosi cha Yanga kwa sasa kuna wachezaji wanne waliotengeneza nywele zao kwa mtindo wa #Rasta (Kamusoko, Tshishimbi, Jafary na Boban).
.
Marasta wengi wanaocheza mpira huwa wanajua haswa kusukuma gozi kwa mfano enzi za akina Nurdin Bakari, Nizar, Kiemba na wengine kibao.

Kiungo wa Yanga Jafary Mohammed anasema alikuwa anavutiwa na Edgar Davis mchezaji wa zamani wa kimataifa wa Uholanzi ambaye pia alikuwa anafuga rasta lakini pia alikuwa anavaa miwani.

Wachezaji wanaofuga #Rasta wana kitu gani cha kipekee?

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here