Home Kitaifa Washindi wa tuzo za Ndondo Cup 2018 katoka picha

Washindi wa tuzo za Ndondo Cup 2018 katoka picha

6564
0

Usiku wa jana kulikuwa na tukio kubwa sana pale Clouds Tv Mikocheni baada ya washindi wa michuano ya Ndondo Cup 2018 kukabidhiwa tuzo zao.

Tuzo mbali mbali zilitolewa ikiwemo tuzo ya muamuzi bora, mchezaji bora, beki bora, kipa bora, kikundi bora cha ushangiliaji, mwandishi bora wa ndondo.

Mwamuzi bora wa Ndondo Cup

Liston Hiyari.

Kipa bora wa Ndondo Cup.

Enock John

Beki bora wa Ndondo Cup.

Omary Dante.

Kiungo bora wa Ndondo Cup

Fakhi Hakika

Kocha bora Ndondo Cup

Joseph Anthony Nyopa.

Tuzo ya shabiki bora

Chief wa Kauzu, Toroka Uje, Babu wa Keko, Mustafa Chinga.

Tuzo ya kundi bora la ushangiliaji.

Kivule United.

Tuzo ya mfungaji bora wa Ndondo.

Coasmas Fredy

Tuzo ya mchezaji bora wa Ndondo

Issa Ngoah

Mchezaji bora wa Ndondo Cup Academy.

Rabin Sanga

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here