Home Dauda TV #YangaVsSimba ni vita ya NIKKI WAPILI VS JOH MAKINI

#YangaVsSimba ni vita ya NIKKI WAPILI VS JOH MAKINI

3104
0

Mechi ya watani wa jadi #YangaVsSimba huwa inaigawa familia ya wasanii wanaounda kundi la #Weusi Joh Makini na Nikki Wapili.

Joh Makini amefata upande wa baba yake (Simba) wakati mdogoake Nikki Wapili yeye amefata nyayo za Bi. Mkubwa wao (Yanga).

Kesho February 16, 2019 Yanga na Simba zitapambana uwanjani kwenye game ya #LigiKuuTanzaniaBara Joh na Nikki wametoa utabiri wao kuelekea mchezo huo.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here