Home Dauda TV Yani unaambiwa Mkude kama ‘Vidal’

Yani unaambiwa Mkude kama ‘Vidal’

4938
0

Show aliyosimamia Jonas Mkude kwenye mechi ya jana Simba vs Nkana shabiki ameamua kumpa jina la Vidal akifananisha uwezo wake na kiungo wa Barcelona na timu ya taifa ya Chile Arturo Vidal.

Ukiachana na goli la kumtungua golikipa wa Nkana na kuisawazishia Simba, Mkude pia alikuwa katika kiwango bora katika eneo la katikati la Simba.

Angalia full interview hapa chini shabiki akimvulia kofia Mruguru Jonas Mkude. Unaweza pia kutaja nani alikuvutia katika mchezo wa jana kwa kuacha comment yako hapo chini.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here