Home Dauda TV Zahera Mwinyi amaliza utata kuhusu Makambo

Zahera Mwinyi amaliza utata kuhusu Makambo

3931
0

Kocha wa Yanga Zahera Mwinyi amefafanua kuhusu ‘ishu’ ya kutoweka kambini mshambuliaji wake Heritier Makambo kama ilivyosambaa kwenye mitandao ya kijamii na baadhi ya vyombo vya habari.

Zahera amesema Makambo hakuondoka kambini wala hakuwepo kambini, ameeleza kuwa baada ya kutua Dar kwa ndege wakitokea Mbeya kwenye mechi yao dhidi ya Mbeya City baadaye saa 8 usiku akasafiri kwa ndege kwenda kwao Congo DR.

“Makambo hajatoroka kambini, baada ya kurudi Dar toka Mbeya kwenye mechi yetu na Mbeya City, Makambo alienda kwao”-Zahera Mwinyi, kocha Yanga SC.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here