Home Dauda TV Zahera Mwinyi kuchangia Yanga nauli ya ndege

Zahera Mwinyi kuchangia Yanga nauli ya ndege

5370
0

Kocha mkuu wa Yanga Zahera Mwinyi yupo tayari kuongezea kiasi cha pesa kitakachopungua baada ya mashabiki na wadau wa timu hiyo kuichangia timu yao fedha kwa ajili ya nauli ili wachezaji wasafiri kwa ndege kwenye Mbeya.

“Kiasi kitakachopungua mimi nitaongezea ili kuisaidia timu yetu isafiri kwa ndege, naomba mashabiki wote wanaopenda Yanga waisaidie timu yao”-Zahera Mwinyi.

Yanga itacheza na Mbeya City mechi ya ligi kuu Tanzania bara December 29, 2018 kwenye uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine, Mbeya.

Msikilize mwenyewe Zahera akihamasisha wanayanga waichaingie timu fedha ili wachezaji wasafiri kwa ndege na kusema kiasi kitakachopungua atatoa yeye.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here